Nimefurahi sana kukuona huogopi nami nakuambia usiogope nakuombea uzidi kuwa na ujasiri na akupe ushujaa kama Mfalme Daudi tunakuombea sana Mungu akulinde na akutunze ikiwezekana usiishie hapo tuu nanupande ngazi hadi kuwa.... ..
Umeandika historia ambayo hatafutika kizazi na kizazi,wengine wanaweka historia ya kùwa Rais na ufisadi juu lakini lisu atakumbukwa kwa haki na kupigania taifa lake dhidi ya dhuruma
Daaah kamanda ana history njema sana hongera kwa historia bora sana
No reforms no election
Hongera sana lisu
Tuna jua hata ulemavu alio nao ni sababu ya yeye kuisimamia kweli na kuitangaza kweli na kuitaka haki
Nimefurahi sana kukuona huogopi nami nakuambia usiogope nakuombea uzidi kuwa na ujasiri na akupe ushujaa kama Mfalme Daudi tunakuombea sana Mungu akulinde na akutunze ikiwezekana usiishie hapo tuu nanupande ngazi hadi kuwa....
..
Lisu ndio njia pekee ya ukombozi
Wakweli, wanafiki na waovu ndiyo wapenzi wa wengi.
Kweli kabx
Umeandika historia ambayo hatafutika kizazi na kizazi,wengine wanaweka historia ya kùwa Rais na ufisadi juu lakini lisu atakumbukwa kwa haki na kupigania taifa lake dhidi ya dhuruma
Ilo halina ubishi giza haliwezi kuishinda nuru
Lissu arudi Ubeljiji na passport.ya Tz ichukuliwe
Ujasiri gani angekimbilia Belgium?
Hata nyerere wkt anadai uhuru amewahi kujificha nchi akaachiwa kawawa, ulikuwa hujazaliwa wala historia husomi